Tuesday, February 07, 2012

KUHUSU BARUA ZA FIELD KWA WANA USIA WOTE

Napenda kuwataarifu wanachama wote wa USIA mwaka wa kwanza na wa pili kuwa barua za field za USIA zitatoka wakati wowote hivi punde yaani kabla ya alhamisi ya wiki ijayo, Tunaomba muwe na subira tutawatangazia tu kuwa jinsi ya kuchukua na maelezo yake ya jinsi gani utaweza kufanya maombi.
                                          ...WE BELIEVE IN TOGETHERNESS...

No comments:

Post a Comment